Picha mbali mbali za Mkutano wa Makamu wa Rais katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini - Mtazamo News
Tangaza Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 13 February 2018

Picha mbali mbali za Mkutano wa Makamu wa Rais katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembetogwa mkoani Iringa.
 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Sehemu ya Wakazi wa Iringa mjini waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages