Benki ya TPB Yatangaza Washindi wa Mwisho wa Droo Western Union - Mtazamo News
Tangaza Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 13 February 2018

Benki ya TPB Yatangaza Washindi wa Mwisho wa Droo Western Union

 Meneja Masoko wa Benki ya TPB, Frank Mushi, akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani mara baada ya kutangaza majina ya washindi  wa droo ya Mwisho ya Western Union iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Febrari 12, 2018,
 Meneja Masoko wa Benki ya TPB, Frank Mushi, kulia akitangaza majina ya washindi wa droo ya Mwisho ya Western Union iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Febrari 12, 2018, wanao shuhudia ni Maryana Leonard na Godwin Mtunga.
Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya TPB,akichanya koponi za washindi wa Droo ya Mwisho ya Western Union iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Febrari 12, 2018,

Picha zote na Prona Mumwi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages