Yanayotarajiwa Katika Simu Mpya Aina ya Camon Cm Kutoka TECNO! - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Friday, 12 January 2018

Yanayotarajiwa Katika Simu Mpya Aina ya Camon Cm Kutoka TECNO!

Kampuni ya simu za mkononi TECNO Mobile Ltd imeendeleza cheche zake katika kuhakikisha inazalisha bidhaa stahiki kufuatia ongezeko la watumiaji wa simu na matumizi mbalimbali kutokana na mabadiliko ya kiteknolojia.

Mwaka jana kulikua na tetesi za kuwa kwa mwaka 2018 wanatarajia kutoa simu mpya ambayo itakua ya kwanza kutoka kwao na itakua ya kipekee kulingaisha na simu zilizotangulia awali. 
 Kumekua na habari mbalimbali kutoka kwa wafuatiliaji wa teknolojia kuwa, kwa mwaka 2018, kampuni ya simu za mkononi TECNO Mobile Ltd itatoa muendelezo wa toleo la CAMON, kwanai mwaka jana muda kama huu walitoa muendelezo wa simu ya CAMON na kutoa CAMON CX na ilikua ni moja ya simu iliyokubalika sana kwa wadau na watumaji wa bidha z TECNO.
 Hivo inaamika kwa mwaka huu pia watatoka na muendelezo huo. CAMON CX ilikua ni simu yenye uwezo mkubwa wa Camera kwani ilikua na MP 16 kamera ya mbele na nyuma na hivyo kuteka soko kubwa la watuamiji wa simu janja (SmartPhone).
Kwenye hii simu mpya kunauwezekano ikawa na vitu vizuri zaidi kutoka na tafiti za watumiaji na wadau wa simu kutoka TECNO!
 Muundo : Kutokana na mabadiliiko ya tekinolojia makampuni ya simu yamekua yakibadilisha upepo na kwenda na mabadiliko ya kitekinolojia na mahitaji ya watumiaji wa simu janja (SmartPhone), hivyo simuu hii mpy ainataraajiwa na kuwa na skirini nzima yenye kioo!
 Kamera: Simu za nyuma zimekua zikifanya vizuri kwa upande wa kamera, kwenye simu hii kamera inaweza ikawa ni FULL HD.
Mtandao wa 4G : Mfumo wa mtandao (Network) inatarijiwa kuwa ni 4G LTE, kasi zaidi kulinganisha na simu zingine.
Bei nafuu : Bei yake inawezakufika kwenye laki 3 (300,000 TZS),  bei itakua nafuu kulinganisha na Phantom 8 iliyozinduliwa mwaka jana ambayo bei yake ilikua juu kidogo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337