Header Ads


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Haji Omar Kher Afungua Wodi ya Wazazi Kituo cha Afya Tumbatu

Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir kwa niaba ya Waziri wa Nchi ya  Ofisi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.  Issa Haji Gavu  akifungua pazia akiashiria kufungua Wodi ya Wazazi Kituo cha Afya Tumbatu Gomani .

(Picha na Kijakazi Abdalla Maelezo)  

No comments

Powered by Blogger.