Waziri Mkuchika ashiriki mjadala kuhusu masuala ya utumishi wa umma nchini - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Friday, 5 January 2018

Waziri Mkuchika ashiriki mjadala kuhusu masuala ya utumishi wa umma nchini

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb), kulia, akishiriki mjadala katika kipindi cha Tunatekeleza kinachorushwa na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC). Mhe. Mkuchika katika mjadala huo amesisitiza Watumishi wa Umma nchini wanatakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kufikia malengo ya nchi na kuleta mabadiliko kwa wananchi ambao ndio wadau wakuu wa Serikali.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337