Matukio Katika Picha Ziara ya Waziri wa Afya Ummy Hospitali ya Amana - Mtazamo News
Tangaza Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 16 January 2018

Matukio Katika Picha Ziara ya Waziri wa Afya Ummy Hospitali ya Amana

 Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (katikati) akiwa amefuatana na baadhi ya madaktari wakati wa ziara yake Hospitalini hapo ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya  jijini Dar es salaam, (wakwanza kulia) ni Katibu Tawala wa Wilaya  Ilala Edward Mpogolo.
 Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akisalimiana na wagonjwa na kuuliza changamoto wanazokutana nazo hospitalini hapo wakati wa ziara yake katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya jijini Dar es salaam Januari 16, 2018.
Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwajulia hali wamama waliolazwa na watoto wao katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana wakati wa ziara yake katika Hospitalini hapo ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya jijini Dar es salaam.
 Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akikagua dawa  zilizopo katika stoo ya dawa ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana wakati wa ziara yake Hospitalini hapo ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya  jijini Dar es salaam.
 Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijiridhisha na hali ya upatikanaji wa dawa  zilizopo katika stoo ya dawa ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana wakati wa ziara yake Hospitalini hapo ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya  jijini Dar es salaam.
Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akikagua dawa kama ina nembo ya GoT (Government of Tanzania) inayopigwa chapa na Bohari Kuu ya Madawa ( ili kuepuka uchepushwaji wa dawa hizo kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya Serikali wakati wa ziara yake katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya  jijini Dar es salaam.
  Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akifurahia jambo na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Ilala Amana,Dr. Meshack Shimwela.
 Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (katikati) akiwa amefuatana na baadhi ya madaktari wakati wa ziara yake Hospitalini hapo ili kujua hali ya utolewaji huduma za afya  jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages