Makamu wa Rais Ahudhuria Msiba wa Said Natepe - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Friday, 12 January 2018

Makamu wa Rais Ahudhuria Msiba wa Said Natepe

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa pamoja na Mama Siti Mwinyi mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili (kushoto) pamoja na Huda Karume mke wa Balozi Ali Karume kwenye msiba wa Bw. Said Abdallah Natepe aliwahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Utawala Bora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  alijumuika na Viongozi pamoja na wananchi Mazizini kwenye msiba wa Marehemu Said Abdallah Natepe .
 Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Idd akiwasili Mazizini kuhudhuria msiba wa Said Abdallah Natepe.
  Mwili wa marehemu Said Natepe ukibebwa tayari kwenda kupumzishwa kwenye makaburi ya Mwache

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337