Maagizo ya Waziri Afya Ummy Mwalimu,Bohari Kuu ya Dawa MSD - Mtazamo News
Tangaza Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Wednesday, 17 January 2018

Maagizo ya Waziri Afya Ummy Mwalimu,Bohari Kuu ya Dawa MSD

Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu awataka Bohari Kuuu ya Dawa MSD kuweka nembo ya GoT (Government of Tanzania) kwenye dawa zote zilizonunuliwa na Serikali ili kuweza kuepuka Uchepushwaji wa dawa kwenye vituo vya Serikali vinavyotoa huduma ya Afya wakati alipotembelea Hospitali ya Amana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages