Licha ya kupigwa na Azam, njia pekee ya Simba kutinga nusu fainali ni hii. - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Monday, 8 January 2018

Licha ya kupigwa na Azam, njia pekee ya Simba kutinga nusu fainali ni hii.

HABARI ipo hivi…….Wekundu wa Msimbazi Simba waliingia kwenye dimba la Amaan usiku wa Jumamosi kwa lengo la kuwarejesha nyumbani Azam FC mapema zaidi. Lakini mambo yakawa kinyume, Wanalambalamba hao wakapata ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Idd Kipagwile na kutinga nusu fainali.
Kama Azam wangepoteza basi Jumapili asubuhi boti ingewahusu kurejea Azam Complex Chamazi kwa ajili ya kujiandaa na mechi za ligi kuu ya Vodacom ikiwaacha Simba na URA zikitinga nusu fainali.io
Baada ya matokeo ya leo, mashabiki wa Simba wameonekana kuchanganyikiwa wakiamini kuna nafasi finyu sana kwa timu yao kutinga nusu fainali hasa kwavile hata wakiifunga URA bado watafikisha pointi saba tu ambazo wakusanya kodi hao wa Uganda wanazo mkononi tayari.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337