IGP Sirro afanya ziara bandari ya Dar es Salaam - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Thursday, 4 January 2018

IGP Sirro afanya ziara bandari ya Dar es Salaam

 Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akikagua baadhi ya magari 119 ya Jeshi hilo ambayo yameshawasili bandari ya Dar es salaam, yakiwa ni miongoni mwa magari 777 yaliyoagizwa na Jeshi hilo kwa ajili ya shughuli mbalimbali. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akiwa ameongozana na baadhi ya maofisa wa Jeshi hilo alipofanya ziara katika bandari ya Dar es salaam, leo kwa lengo la kukagua magari 119 ya Jeshi hilo ambayo yameshawasili bandarini hapo, magari hayo ni miongoni mwa magari 777 yaliyoagizwa na Jeshi hilo.

Picha na Jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337