Ben Kinyaiya aselebuka na warembo back stage! - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Wednesday, 3 January 2018

Ben Kinyaiya aselebuka na warembo back stage!

Ben Kinyaiya, ni mtangazaji wa kipindi cha 'Mama Land' kilichopo Clouds Media .Pia ni msanii wa Muziki wa Bongo Fleva aliyewahi kutoa ngoma zake ikiwa ni pamoja na wimbo uitwao 'Fire'.

 Huu ni usiku wa tukio lililo fanyika mwaka 2017 ambapo kulikuwa na shindano la kumssaka Mrembo Asilia 2017 Kunduchi. Ben Kinyaiya alikuwa ni MC wa Shindano hilo, hivyo ilikuwa ni fursa nzuri kwake kuweza kufika Back Stage na ku-show love na warembo wote walio kwenda kushiriki shindano.
 
Kawaida Ben Kinyaiya, ni mtangazaji wa kipindi cha 'Mama Land' kilichopo Clouds Media .Pia ni msanii wa Muziki wa Bongo Fleva aliyewahi kutoa ngoma zake ikiwa ni pamoja na wimbo uitwao 'Fire'. Huu ni usiku wa tukio lililo fanyika mwaka 2017 ambapo kulikuwa na shindano la kumssaka Mrembo Asilia 2017 Kunduchi. Ben Kinyaiya alikuwa ni MC wa Shindano hilo, hivyo ilikuwa ni fursa nzuri kwake kuweza kufika Back Stage na ku-show love na warembo wote walio kwenda kushiriki shindano.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337