Wateja wa Vodacom Tanzania PLC, wanaopokea malipo kwa m-pesa kutoka mitandao yote kushinda hadi milioni 20. - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Thursday, 14 December 2017

Wateja wa Vodacom Tanzania PLC, wanaopokea malipo kwa m-pesa kutoka mitandao yote kushinda hadi milioni 20.

 Mkurugenzi wa  Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni  ya Vodacom Tanzania Plc ,Rosalynn Mworia(kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) juu ya mwendelezo wa kampeni ya Pesa ni M-Pesa  ambapo wafanyabiashara  watakao pokea  malipo kwa njia ya M-Pesa  watajishindia zawadi za pesa taslim  jumla ya shilingi Milioni 200. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana.  Promosheni hiyo itadumu kwa  muda wa miezi 2 na zaidi ya wafanyabiashara 800 wanaopokea malipo kwa M-Pesa  watashinda   zawadi  kila siku, kila wiki, kila mwezi na mshindi wa jumla atajishindia kitita cha Milioni 20.
Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana (kushoto)   akishuhudiwa na Mkurugenzi wa  Mawasiliano na Uhusiano wakampuni  ya Vodacom Tanzania Plc ,Rosalynn Mworia(kulia)  wakati  akifafanua jambo kwa waandishi wahabari (hawapo pichani)  jijini Dar es Salaam  juu ya mwendelezo wa kampeni ya Pesa ni M-Pesa  ambapo wafanyabiashara  watakao pokea  malipo kwa njia ya M-Pesa  watajishindia zawadi za pesa taslim  jumla ya shilingi Milioni 200. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana.  Promosheni  hiyo itadumu kwa  muda wa miezi 2 na zaidi ya wafanyabiashara 800 wanaopokea malipo kwa M-Pesa watashinda   zawadi  kila siku, kila wiki, kila mwezi na mshindi wa jumla atajishindia kitita cha Milioni 20

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337