Wahariri wa vyombo vya habari wapewa semina juu ya haki za Mtoto Jijini Dar es Salaam - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Wednesday, 6 December 2017

Wahariri wa vyombo vya habari wapewa semina juu ya haki za Mtoto Jijini Dar es Salaam

 Mtaalamu wa Masuala ya Haki za Watoto kutoka nchini Thailand anayefanya kazi na Taasisi ya Save The Children nchini, Yui Mutomol  akitoa Elimu kwa Waandishi wa Habari waandamizi na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari wakati wa semina juu ya haki za Mtoto iliyoandaliwa na Taisisi ya Save The Children iliyofanyika Desemba 6, 2017 Jijini Dar es Salaam.
 Mwanaharakati wa Haki za Watoto nchini na Mkurugenzi wa Taasisi ya Msichana Initiative , Rebeca Gyumi  akizungumza na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo mbalimbali vya Habari haki za Mtoto na   vita dhidi ya Ndoa za Utotoni zinazoendelea nchini 
Mtaalamu wa kupigania Haki za Watoto kutoka Taasisi ya Save The Children, Neema Bwaira akizungumza na Wahariri na Waandishi Waandamizi wa Vyombo Mbalimbali vya Habari hapa nchini wakati wa Semina juu ya haki za Mtoto Jijini Dar es Salaam
Sehemu ya Waandishi Waandamizi na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakisikiliza kwa Makini wakati wa semina juu ya haki za Mtoto iliyoandaliwa na Taisisi ya Save The Children Jijini Dar es Salaam

(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages