Wafanyakazi wa Plasco Limited washerehekea sherehe ya kufunga mwaka 2017 kwa mafanikio - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Wednesday, 27 December 2017

Wafanyakazi wa Plasco Limited washerehekea sherehe ya kufunga mwaka 2017 kwa mafanikio

 Mwenyekiti wa bondi ya wakurugenzi wa kamapuni ya  Plasco Limited, Aunali Rajabali akiongea na wafanyakazi wa kampuni  hiyo wakati wa sherehe ya  kufunga mwaka 2017  iliyofanyika  makao makuu ya kampuni hiyo Chang’ombe    jijini Dar es Salaam.
 Mmoja wafanyakazi wa kamapuni ya Plasco Limited, akifafanua jambo  wakati wa sherehe ya  kufunga mwaka 2017  iliyofanyika  makao makuu ya kampuni hiyo,  Chang’ombe    jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa bondi ya wakurugenzi wa kampuni ya Plasco Limited , Aunali Rajabali  wapili (kulia) akiwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakimsikiliza  afisa mkuu wa fedha Unguu Sulay(kulia)  akifafanua jambo juu ya  maenedeleo ya kiwanda  cha Plasco Limited, wakati wa sherehe ya  kufunga mwaka 2017  iliyofanyika  makao makuu ya kampuni hiyo Chang’ombe    jijini Dar es Salaam. 
Wafanyakazi wa kamapuni ya Plasco Limited, wakimsikiliza kwa maikini mwenyekiti wa bondi ya wakurugenzi wa kamapuni hiyo, Aunali Rajabali (hayupo pichani) wakati wa sherehe ya  kufunga mwaka 2017  iliyofanyika  makao makuu ya kampuni hiyo Chang’ombe    jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337