Header Ads


Vipaji vya watoto mashuleni vikiendelezwa tutapata timu za taifa kwa michezo mbalimbali zilizo bora zaidi.

 Wanafunzi  wa darasa la pili katika shule ya msingi Nyamizeze  kata ya Bugando ,Wilaya ya Sengerema  mkoani Mwanza,wakionyesha vipaji vyao kwa  kusakata kandanda   wakati wa kipindi cha michezo , Wazira ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo inayo jukumu kubwa la kuviendeleza  vipaji vya  watoto mashuleni  ili kuweze kapata timu ya taifa iliyobora.
(Picha na Albart Jackson)
Wanafunzi  wa darasa la pili katika shule ya msingi Nyamizeze  kata ya Bugando ,Wilaya ya Sengerema  mkoani Mwanza,wakionyesha vipaji vyao  kwa  kuruka kamba   shuleni hapo wakati wa kipindi cha michezo ,Wazira ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo inayo jukumu kubwa la kuviendeleza  vipaji vya  watoto mashuleni  ili kuweze kupata timu ya taifa iliyobora 
(Picha na Albart Jackson)

No comments

Powered by Blogger.