Taasisi ya Dr.Amon Mkoga Foundation wamepokea msaada wa Vifaa vya watu wenye Ulemavu - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Friday, 22 December 2017

Taasisi ya Dr.Amon Mkoga Foundation wamepokea msaada wa Vifaa vya watu wenye Ulemavu


Baloziwa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al Najem, Naibu Waziri Ofisiya Waziri Mkuu, Kwa wenyeUlemavu,Ikupa Stela Alex na Mwenyekiti wa TaasisiyaDkt. Amon Mkoga, Bwana Amon Mkoga (mwenye baibui) wakimkabidhi Dar es Salaam jana, cherehani kwa Shamsa Awadhi, mmoja wa mzazi wa mtoto mwenye ulemavu kutoka Mkoani Tabora kwaajili ya kuisadia familia hiyo. Ubalozi wa Kuwaiti umetoa vyerehani, fimbo za kutembelea walemavu na baiskeli za walemavu vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 18 kwa watu wenye mahitaji maalum kutoka mkoa wa Tabora.
.................
Taasisi ya Dr.Amon Mkoga Foundation wamepokea msaada wa Vifaa vya watu wenye Ulemavu na Vikundi vya kinamama  wa  mkoa wa Tabora
Wheel Chair Normal(Baiskeli za walemavu wakubwa)-15

Wheel Chair For Infant(Baiskeli za walemavu wakubwa)-10

Crutches Elbow type pair(Fimbo za kutembelea)-10

Crutches Elbow types pair(Fimbo za kutembelea)-10

Walking stick brown(Fimbo za kutembelea )--10

-Stick for Blind(Fimbo za kutembelea vipofu)-20

Spectacles for Blind people(Miwani ya jua kwa Albino)-15


Sewing machines(kwa Walemavu na Wajane)-30
Katika Muendelezo wake Balozi wa Kuwait hapa nchini, Mhe.Jasem Al Najem  katika kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu.

Kwa muda mrefu tumekuwakuwa tukishuhudia Ubalozi wa Kuwait ukisaidia makundi maalumu hapa nchini,hii itakuwa fursa kwa watu wenye ulemavu na vikundi mbalimbali vya kinamama kufaidika na mradi huu.

Kwanini msaada huu?kumekuwepo walemavu wengi wasiona uwezo wa kununu vifaa mbalimbali vya kuwasaidia hivyo kudumaza utendaji wao wa kazi,wajane pia watafaidika na msaada huu wa cherehani kwani migogoro ya ndoa  na vifo vya wenza imesababisha ongezeko la wajane katika siku za hivi karibuni.

Misaada hii italenga walengwa kutoka vijijini ambao hawana uwezo wa kununua vifaa hivi,baadhi ya Kata za Tabora ambazo wafaidika watatoka ni-
 Baloziwa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al Najem akizungumza wakati wa hafla ya hiyo.
 Mwenyekiti wa TaasisiyaDkt. Amon Mkoga, Bwana Amon Mkoga akizungumza.
 Naibu Waziri Ofisiya Waziri Mkuu, Kwa wenyeUlemavu,Ikupa Stela Alex akizungumza.
 Picha ya pamoja.
 Baloziwa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al Najem akipeana mkono na  Mwenyekiti wa TaasisiyaDkt. Amon Mkoga, Bwana Amon Mkoga wakati wa hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337