Spika Job Ndugai mgeni afungua mashindano ya nane ya mabunge ya jumuiya ya afrika mashariki. - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 3 December 2017

Spika Job Ndugai mgeni afungua mashindano ya nane ya mabunge ya jumuiya ya afrika mashariki.

 Mgeni Rasmi Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Ndg. Benard Konga (kulia) wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. NHIF ni watoaji huduma ya afya kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya usajili wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (aliesimama)akiwatambulisha  Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
 Wageni Mbali mbali kutoka nchi za Afrika Mashariki wakifuatilia ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
 Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakiteta jambo wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. Wakiongozwa na Mhe. Ritta kabati (kulia)
 Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam.
 Spika waBunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi Mbali mbali kutoka Afrika ya Mashariki wakati wa ufunguzi waMashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. watatu kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na kushoto ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Ndg. Rwigema Celestin (katikati) wakielekea kwenye ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Saba saba hall uliopo Saba saba Mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson na wa pili kushoto ni katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Ndg. Edwin Rutageruka.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages