Simu Janja siku hizi zinakuja huku zikiwa na maboresho ya hali ya juu - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Monday, 11 December 2017

Simu Janja siku hizi zinakuja huku zikiwa na maboresho ya hali ya juu

Simu Janja siku hizi zinakuja huku zikiwa na maboresho ya hali ya juu. Huyu akiweka kamera nzuri kampuni pinzani na yenyewe inafanya hivyo huku ikiongezea maboresho mengine.
Ni wazi kwamba simu za Samsung ndio zinazoongoza katika soko la dunia la simu. TECNO nao hawapo nyuma katika kuhakikisha wanampatia mteja kile kilicho bora zaidi.


Leo nataka kulinganisha simu hizi mbili kwa haraka haraka (TECNO Phantom 8 na Samsung
Galaxy Note 8) ili ujionee yale yaliyomo ndani katika simu hizi.
Meonekano Wa Nyuma Kati Ya Phantom 8 Na Galaxy Note 8
Kilinganisho     Phantom 8  na  Note 8

Resolution ya Kioo kati ya Phantom 8 na  Note 8 ya Samsung.


RAM

Mega Pixels (MP)
GB 6

Kamera Ya Mbele 20MP, Yenye
GB 6

Kamera Ya Mbele 8MP na

Flash Mbili na Kamera Ya Nyuma Ziko Mbili 12MP + 13MP, Uwezo Wa Kuzoom Mara 10 Zaidi
Kamera Ya Nyuma Ziko Mbili Zote Zikiwa Na 12MP lakini Kazi Ni Tofauti Tofauti.

Kamera Mbili?

Ndio - Nyuma Ziko Mbili

Ndio - Nyuma Ziko Mbili

Uwezo Wa Betri

3,500mAh - Haliwezi Toka

3,300mAh - Haliwezi Toka

Prosesa

Octa core 2.6 GHz

Octa-core (2.3GHz Quad
+1.7GHz Quad), 64-bit, 10nm processor

Network

Inaruhusu Mpaka 4G

Inaruhusu Mpaka 4G

Ujazo Wa Ndani
(ROM)

GB 64

GB 64/128/256

Memori Kadi?

Inaruhusu

Inaruhusu

Uwezo Wa Kioo

1920*1080 FHD

1440 x 2960 pixels


Aina Ya Kioo

IPS (LCD)

AMOLED

Ukubwa Wa Kioo

Inchi 5.7

Inchi 6.3

Utambuzi Wa Alama
Za Vidole?

Ndio - Upo Kwa Nyuma

Ndio - Upo Kwa Nyuma

Rangi Zilizopo

Champagne Gold, Phantom Black
Na  Galaxy Blue

Midnight Black, Deepsea Blue, Orchid Gray Na Maple Gold

Ukubwa
(Wembamba)159.95 x 79.5 x 7,9 m
(wembamba 5.6mm)


Muonekano Wakati Wa kupiga Picha. Phantom 8 Ikiwa Katika 'ReFocus' Wakati Note 8 Ikiwa
Katika 'Live Focus'

Simu zote mbili hizi ni kali   na ni za kisasa zaidi. Niandikie hapo chini sehemu ya comment. Wewe hili umelipokeaje? ningependa kusikia kutoka kwako.

Kumbuka  Kutembelea  TeknoKona  Kila  Siku  Kwani  Daima  Tupo  Nawe
Katika Teknolojia!

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337