Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama Yake Juma Kassim Tindwa - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Tuesday, 26 December 2017

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama Yake Juma Kassim Tindwa

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakishiriki katika Sala ya kuuombea dua Mwili wa Marehemu Mtumwa Mgeni , mama mzazi wa Meja Mstaaf na Mshauri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ., Mhe. Juma Kassim Tindwa, sala hiyo imefanyika katika msikili wa Kilimani na kuzikwa katika makaburi ya kwarara.
(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiika mcha katika kaburi la marehemu Mtumwa Mgeni  Mama Meja Mstaaf Juma Kassim Tindwa, mazishi hayo yemefanyika katika makaburi ya kwarara Unguja.
(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiitikia dua inayosomwa na Sheikh Sharif Abdulrahaman Sharif, wakatika wa mazishi ya Marehemu Mtumwa Mgeni yaliofanyika katika makaburi ya Kwarara Zanzibar.
Picha na Christopher Mfinanga 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337