Header Ads


Rais Dkt Magufuli aweka jiwe la msingi ujenzi wa ofisi ya taifa ya takwimu mjini Dodoma

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Nchini Bi.Bella Bird wakiweka jiwe la msingi  katika  jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu katika eneo la Makulu Mjini Dodoma.
PICHA  IKULU NA MAELEZO DODOMA
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Miles wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akipeana mikono na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Mhe. Bella Bird  wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa  jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bodi ya  Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Andrew Wilson Massawe wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akipokea kutoka kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ramani yab Tanzania yenye kuonesha takwimu ya hali ya  maambukizi ya VVU kimkoa wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akihutubia  wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma leo Desemba 20, 2017
 Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) Dkt.Albina Chuwa akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu katika eneo la Makulu Mjini Dodoma.
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Philip Mpango akimkaribisha mgeni rasmi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu katika eneo la Makulu Mjini Dodoma.
 Viongozi mbalimbali wa Serikali wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu katika eneo la Makulu Mjini Dodoma.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS) wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu katika eneo la Makulu Mjini Dodoma.

No comments

Powered by Blogger.