Header Ads


Naibu Waziri wa Maliasili , Japhet Hasunga atembelea kijiji cha makumbusho na kuzungumza na watumishi.

   Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kushoto)  akizungumza  na  Watumishi wa Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki  kujionea shughuli zinazofanywa kijijini hapo. (Picha na Lusungu Helela-MNRT
    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kushoto)  akinywa maji ya dafu mara baada ya kutembelea kijiji cha Makumbusho   jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki  kujionea shughuli zinazofanywa kijijini hapo pamoja na kuzungumza na Watumishi.  Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax  Mabula pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agness Robert (wa tatu kushoto) (Picha na Lusungu Helela-MNRT)
   Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kulia)  akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax na  Mabula ( wa tatu kulia)  wakinywa maji ya dafu mara baada ya kutembelea kijiji cha Makumbusho   jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki  kujionea shughuli zinazofanywa kijijini hapo pamoja na kuzungumza na Watumishi. Wa kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agness Robert, Wengine ni watumishi wa Makumbusho ya Taifa makao Makuu jijini Dar es Salaam. (Picha na Lusungu Helela-MNRT
    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kulia) akipewa   maji ya dafu  na mmoja wa Watumishi wa Kijiji cha Makumbusho mara baada ya kutembelea hapo wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki  kujionea shughuli zinazofanywa k pamoja na kuzungumza na Watumishi. Wa kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agness Robert (wa pili kulia) (Picha na Lusungu Helela-MNRT)
   Baadhi ya Wasanii wakitumbuiza ikiwa ni ishara ya kumkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga  alipotembelea Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara mwishoni mwa wiki  kujionea shughuli zinazofanywa kijijini hapo pamoja na kuzungumza na Watumishi. (Picha na Lusungu Helela-MNRT
   Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (  kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax Mabula (kushoto) wakimsiliza kwa makini Mhifadhi Mila Mwandamizi, Wilbard Hema (mbele)  wakati akiwapa maelezo kabla ya kutembelea  baadhi ya nyumba za makabila 33 zilizopo kwenye Kijiji cha  Makumbusho  ambapo Naibu Waziri Hasunga alipofanya ziara mwishoni mwa wiki.  Nyuma ya Naibu Waziri ni Kaimu Mkurugenzi wa Kijiji cha Makumbusho, Agnes Robert. (Picha na Lusungu Helela-MNRT

No comments

Powered by Blogger.