Mwenyekiti wa UWT akaribishwa mkoani Dodoma - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Sunday, 17 December 2017

Mwenyekiti wa UWT akaribishwa mkoani Dodoma

 MWENYEKITI wa UWT Taifa Mama Kabaka akiwahutubia wananchi wa UWT Mkoa wa Dodoma katika viwanja vya Makao Makuu ya CCM White House Dodoma wakati wa mapokezi na kutambulishwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Dodoma baada ya kuchaguliwa kwake na Mkutano Mkuu wa Tiosa wa UWT uliofanyika hivi karibuni.
 MWENYEKITI wa UWT Mkoa wa Dodoma Neema Majule akimtambulisha Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Mama Kabaka wakati wa mapokezi yalioandaliwa na Mkoa wa Dodoma kwa kumtambulisha kwa Wananawake wa UWT Dodoma katika viwanja vya CCM Makao Makuu White House.(Picha na Othman Maulid)
 MWENYEKITI wa UWT Mama Kabaka apokelewa na Wanawake wa UWT Mkoa wa Dodoma na kukaribishwa kwa kwa Tambiko na Wazee wa UWT Mkoa wa Dodoma katika viwanja vya Makao Makuu ya CCM White House leo 16-12-2017.(Picha na Othman Maulid)
 MAKAMU Mwenyekiti wa UWT Thuwaiba Kisasi akipokelea kwa kuvishwa vazi la Mkoa wa Dodoma wakati wa tambiko la kuwakaribisha Mkoano Dodoma leo.(Picha na Othman Maulid) 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337