Mwenyekiti wa CCM Mkoa apata ajali na familia yake - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Monday, 25 December 2017

Mwenyekiti wa CCM Mkoa apata ajali na familia yake

 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, wamepelekwa katika hospital ya Wilaya ya Kiomboi kwa ajili ya matibabu.

Mke wake na watoto wawili wamepewa rufaa, lakini yeye na wanae wengine wawili wapo Hospitali ya Wilaya Kiomboi. Mtoto mmoja hawezi kusafirishwa sababu hali yake sio nzuri.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337