Habari za sasa hivi

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema afungua maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria Jijini Dar.

 Mkuu wa Wilaya ya IlalaSophia Mjema (katikati) akikata utepe kuzindua kitabu cha (Isemavyo Sheria ya Msaada wa Kisheria 2017), wakati wa maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam ambapo maadhimisho hayo ufanyika kila mwaka , kila Wiki ya Kwanza ya Mwezi Desemba.
Kauli mbio ya maadhimisho hayo ni;
Msaada wa Kisheria kwa Maendeleo ya Wananchi.
 Mkuu wa Wilaya ya IlalaSophia Mjema akisoma hotuba  wakati akifungua maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
 Washiriki wa maadhimisho hayo.
 Wananchi wakiwa katika maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
  Mkuu wa Wilaya ya IlalaSophia Mjema akipata maaelezo  kwa Afisa Sheri kuto Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Exvery Katinda kuhusiana misaada ya kisheri wanayoto kwa wananchi.
 Mkuu wa Wilaya ya IlalaSophia Mjema akiwa katika picha ya pamoja na mawakili wakujitolea wakati wa maadhimisho ya wiki ya msaada wa kisheria yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Burudani zikiendelea.