Miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania yawasili - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Monday, 11 December 2017

Miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania yawasili

Miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania imewasili katika uwanja wa ndege wa Jeshi la wananchi JWTZ, Novemba 11, 2017 jijin Dar es Salaam.

Miili imewasili kupitia ndege ya UN,Wanajeshi wa JWTZ uwanjani tayari kupokea miili Wapo maafisa waandimizi wa wizara ya ulinzi akiwemo waziri wa ulinzi Dr Hussein Mwinyi

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337