Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel yaboresha huduma za UN - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Wednesday, 20 December 2017

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel yaboresha huduma za UN

Meneja Masoko Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Aneth Muga akizungumza na waandishi wa habari katika  ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es salaam kuhusina ofa mpya ya bando la Sh 2,000 ambalo litakua na kifurushi chenye ujazo wa GB 3 kwa siku tatu kulinganisha na awali ambapo Sh 2,000 mteja alikuwa akipata kifurushi cha GB 1.3 kwa siku.
Angalia Video chini.
 Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akitolea ufafanuzi bando la Sh 2,000.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337