IGP Sirro akagua na kushiriki mazoezi ya ukakamavu na askari wa mkoa wa Tabora - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka

Habari za Hivi Punde

Tangaza Hapa +255755300337

Post Top Ad

Post Top Ad


Monday, 11 December 2017

IGP Sirro akagua na kushiriki mazoezi ya ukakamavu na askari wa mkoa wa Tabora

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu kutoka kushoto akiangalia  mmoja wa askari wa Jeshi la Polisi akiwa katika mazoezi ya utayari kupita juu ya kamba mkoani Tabora leo.
 Picha na Jeshi la Polisi.
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu toka kulia leo asubuhi alishiriki  mazoezi ya utayari na kuwatia hamasa Askari wa  Mkoa wa Tabora,  katika ziara yake ya siku moja mkoani humo, hatua hiyo ni kutokana na kuwataka askari wa Jeshi la Polisi kuwa na utayari wakati wote .
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa amembeba Joshua mtoto wa muumini wa kanisa la Siroham mkoani Tabora kabla ya uzinduzi wa zahanati ya Polisi iliyojengwa kwa hisani ya kanisa hilo.  

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Tangaza Hapa +255755300337