DKT Shein Ahudhuria Mashishi ya Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikali Zanzibar Othman Bakari - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Thursday, 7 December 2017

DKT Shein Ahudhuria Mashishi ya Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikali Zanzibar Othman Bakari

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na wakijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar katika Sala ya Kuuombea Mwili wa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikali Zanzibar Marehemu Othman Bakari,dua ikisomwa na Sheikh Fadhil Soraga katika Masjid Shurba kidingochekundu Zanzibar na kuzikwa katika makaburi ya mwanakwerekwe
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la mareheme Othman Bakari, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikali Zanzibar, maziko hayo yamefanyika katika makaburi ya mwanakwerekwe Zanzibar.
(Picha na Ikulu),  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages