Chalamila Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Iringa, Salim Abri “ASAS” achukua ujumbe wa (NEC) taifa kwa kishindo - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 5 December 2017

Chalamila Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Iringa, Salim Abri “ASAS” achukua ujumbe wa (NEC) taifa kwa kishindo

 Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura mara baada ya kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa leo akiwashinda wapinzani wake wawili Bw. Evance Balama na Salim Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa.
 Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura na kuelezea Dira na Mwelekeo wa Uongozi wake mara baada ya kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Kichangani mjini Iringa,  katikati ni  Salim Abri ambaye amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa na kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Mh. Januari Makamba.
 Bw. Salim Abri  Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa  katika uchaguzi huo akiwashukuru wapiga kura mara baada ya kutangazwa mshindi  kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi huo Mh. Januari Makamba na kulia ni Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila
 Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila kulia  na Bw. Salim Abri  Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa wakiwashukuru wana CCM mkoa wa Iringa kwa kuwaamini na kuwapa ridhaa ya kukiongoza chama hicho.
 Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila kuli  na Bw. Salim Abri  Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) mkoa wa Iringa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutangazwa washindi katika uchaguzi huo.
 Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila na Bw. Salim Abri  Mjumbe mpya wa Halmashauri Kuu ya Taifa NEC mkoa wa Iringa wakiwa wakii.furahi paoja na wapiga kura mara baada ya kutangazwa washind
 Salim Abri Asas Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM( NEC) akipongezwa na wanachama mbalimbali wa CCM mara baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi huo.
 Wapiga kura wakiendelea na upigaji wa kura wakati wa uchaguzi huo.
Kura zikiendelea kupigwa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages