Zoezi la kuandikisha wananchi kupata vitambulisho vya taifa linaendelea katika mikoa ya Manyara na Singida - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Friday, 17 November 2017

Zoezi la kuandikisha wananchi kupata vitambulisho vya taifa linaendelea katika mikoa ya Manyara na Singida


Mkuu wa Kitengo cha Biashara Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa,Thomas William akizungumza na kipindi cha Hello Tanzania cha Uhuru FM,kuhusu zoezi la uandikishaji wananchi kwaajili ya vitambulisho vya Taifa katika Mikoa ya Manyara na Singida.
Ndugu Thomas atazungumzia zoezi hilo linavyoendelea katika mikoa mingine siku ya jumatatu tarehe 20-11-2017 katika kipindi Hello Tanzania cha Uhuru FM saa 02:00 kamili Asubuhi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages