Wabunge wawakilishi wa jukwaa la kibunge la sadc wakutana na kuzungumza na Spika Job Ndugai. - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Friday, 17 November 2017

Wabunge wawakilishi wa jukwaa la kibunge la sadc wakutana na kuzungumza na Spika Job Ndugai.

Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADC PF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto) akizungumza pale Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) walipokutana na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto), Wengine ni Wajumbe wa Jukwaa hilo, Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia).
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) wakiongozwa na Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADCPF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto), Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma 
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages