Wabunge vinara wa jinsia wapatiwa semina na wawezeshaji kutoka tgnp mtandao. - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Friday, 17 November 2017

Wabunge vinara wa jinsia wapatiwa semina na wawezeshaji kutoka tgnp mtandao.

 Vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019  na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifuatilia semina iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika Novemba 16, 2017 katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma, semina iliyokuwa inawezeshwa na wawezeshaji kutoka TGNP Mtandao
 Mwenzeshaji kutoka TGNP Mtandao Ndg. Geofrey Chambua akizungumza na vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019  na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika semina iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika Novemba 16, 2017 katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania( TWPG), Mhe Magreth Sitta (kushoto) akizungumza wakati wa semina kwa vinara wa jinsia katika mpango wa maendeleo kwa mwaka 2018/2019  na Muongozo wa Bajeti kwa Mwaka 2018/2019 ambao ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyokuwa inahusu mpango kazi wa kurasimisha masuala ya jinsia katika bajeti ya mwaka 2018/2019 ilifanyika Novemba 16, 2017  katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma, semina iliyokuwa inawezeshwa na wawezeshaji kutoka TGNP Mtandao.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages