Spika Ndugai mgeni rasmi semina ya wanachama wa chama cha mtandao wa wabunge wanaopambana na rushwa. - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Thursday, 2 November 2017

Spika Ndugai mgeni rasmi semina ya wanachama wa chama cha mtandao wa wabunge wanaopambana na rushwa.

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akifungua semina kuhusu maadili na mapambano dhidi ya rushwa kwa Wanachama wa Chama cha Mtandao wa Wabunge wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC) iliyofanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
 Wanachama wa Chama cha Mtandao wa Wabunge wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC) wakifuatilia semina kuhusu maadili na Mapambano dhidi ya rushwa iliyofanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akifuatilia semina kuhusu maadili na mapambano dhidi ya rushwa kwa Wanachama wa Chama cha Mtandao wa Wabunge wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC) iliyofanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma. wa pili kulia ni katibu wa Bunge, Mheshimiwa Stephen kagaigai, wa pili kushoto ni katibu wa Chama hicho, Mheshimiwa Daniel Mtuka na kushoto ni kaimu Mwenyekiti wa Chama hicho, Mheshimiwa Cecilia Pareso.
Spika wa Bunge Mheshimiwa, Job Ndugai (kulia) akipokelewa na Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Mtandao wa Wabunge wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC), Mheshimiwa Cecilia Pareso (kushoto) kwenda kufungua semina kuhusu maadili na Mapambano dhidi ya rushwa iliyofanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages