Habari za sasa hivi

Rais wa Zanzibar Dk Shein azungumza na Mabalozi wa nchi mbili Ikulu Zanzibar

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Balozi Rotlan Paradede alipofika Ikulu Zanzibar  kwa mazungumzo leo
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Mhe. Rotlan Paradede , alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ak. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Al Abdulla  Al-Mahruq alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha leo
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ak. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Al Abdulla  Al-Mahruq alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha  akiwa na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Mhe.Ahmed Humuod Al -Habs  leo 24/11/2017.
RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifuatana na  mgeni  wake Balozi wa Oman Nchini Tanzania Balozi Ali Abdulla  Al- Mahruq, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar alipofika kujitambulisha .Picha na Ikulu