Rais Mhe. Dkt. Magufuli azungumza na watanzania waishio Uganda, pia azungumza na wanahabari mbalimbali Masaka nchini Uganda - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Friday, 10 November 2017

Rais Mhe. Dkt. Magufuli azungumza na watanzania waishio Uganda, pia azungumza na wanahabari mbalimbali Masaka nchini Uganda

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watanzania waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wakizungumza na wanahabari mara baada kumaliza ya kufanya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha umahiri wa kupiga ngoma pamoja na mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika eneo la Kyotera nchini Uganda. 

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages