Msemaji mkuu wa serikali aelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya Tano - Mtazamo News: Home

HABARI ZA HIVI PUNDE

advertise here +255755 300 337

Post Top Ad


Monday, November 6, 2017

Msemaji mkuu wa serikali aelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya Tano

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Usajili, Patrick Kipangula na kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Habari na Picha, Rodney Thadeus.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (katikati) wakati akielezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya tano katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais Dkt. John Magufuli mapema hii leo Jijini Dar es Salaam.

Picha na Idara ya Habari - MAELEZO

No comments:

Post Top Ad

advertise here +255755 300 337