Matukio katika picha Mjini Dodoma - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Friday, 3 November 2017

Matukio katika picha Mjini Dodoma

Daladala likiwa limebebwa kwenye mkokoteni likitoka maeneo ya Dodoma Inn kuelekea barabara ya Dar es salaam mjini Dodoma  Novemba 2, 2017. Licha ya kusababisha mshangao kwa watuomiaji wa barabara pia lilisababisha msongamano wa magari.

 (Picha na Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages