Matukio katika picha bungeni dodoma 17 Novemba 2017 - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Saturday, 18 November 2017

Matukio katika picha bungeni dodoma 17 Novemba 2017

 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha mkutano wa tisa  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiwasilisha taarifa mbalimbali kwa wabunge kabla ya kuahirisha bunge hilo Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mjini Dodoma.
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
 Waziri wa Nishati Mhe.Dk.Medard Kalemani akitolea ufafanuzi maswali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mjini Dodoma.
 Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
 Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Halima Bulembo akiuliza swali wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mjini Dodoma.
 Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akitolea ufafanuzi mchakato wa Serikali wa kuanzisha mamlaka itakayosimamia suala zima la upangaji wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mjini Dodoma.
 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Mhandisi  Isack Kamwelwe akimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mjini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiwasilisha muswada  wa marekebisho ya Sheria ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya wa mwaka 2017  wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha tisa  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mjini Dodoma.

Na Daudi Manongi,MAELEZO,DODOMA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages