Mastaa kibao wahudhuria ndoa ya Serena Williams - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Saturday, 18 November 2017

Mastaa kibao wahudhuria ndoa ya Serena Williams

 Harusi ya Serena Williams imeonyesha kuvutia watu wengi baada ya kuhurudhirwa na mastaa wenye majina makubwa huko New Orleans kushuhudia akifunga pingu na milionea na muasisi wa Reddit, Alexis Ohanian.

Wanandoa hao wamebarikiwa kupata fursa ya kuwa na marafiki wao, familia na nyota kadhaa pamoja na mtoto wao wa miezi miwili Alexis Olympia Ohanian Jr., wakati wakila kiapo cha ndaoa katika kituo cha Contemporary Arts huko New Orleans.

Nyoya kama Kim Kardashian, Venus Williams, Beyonce, na wanakikundi cha muziki wa New Edition, ambao wataimba nyimbo kadhaa katika sherehe ya harusi wameonekana wakiingia katika ukumbi wa kufungia ndoa.
         Wageni waalikwa wakiwa wanapata kinywaji wakisubiri maharusi watarajiwa 
  Sehemu ya wageni waalikwa ambao ni nyota mbalimbali wakiwa katika eneo la kufungia harusi
Wazee wa matarumbeta nao walikuwapo kunogesha shughuli ya ndoa ya Serena Williams na Alexis Ohanian

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages