Maadhimisho ya Siku ya Jumuiaya ya Wahandisi wa mitambo ya Mawasiliano - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 12 November 2017

Maadhimisho ya Siku ya Jumuiaya ya Wahandisi wa mitambo ya Mawasiliano

Kaimu MkurugenziMkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Vallery Chamullungu akizindua siku ya Jumuiya ya Wahandisi wa Mitambo ya Mawasiiano , Uongozaji ndege na ufuatiliaji  miendendo ya Ndege Tanzania (ATSEP), wengine ni Emanuel Mikongoti Mhandisi wa mitambo ya kuongozea Anga  (katikati), na Obed Dabana Kaimu Mkurugenzi  Idara ya Uongozaji ndege  na huduma za ufundi.
 Rais wa Jumuiya ya Wahandishi wa Mitambo ya Mawasiliano, Uongozaji na Ufuatiliaji Mienendo ya Ndege Tanzania(TASEA)Emanuel Mikongoti akiongea wakati wa ufunguzi wa Siku ya maadhimisho ya jumuiya ya wahandisi wa mitambo ya mawasiliano, uongozaji na ufuatiiaji mienendo ya ndege duniani yaliyoadhimishwa jijini Dar es salaam.Wa pili kushoto ni kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Vallery Chamulungu, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Uongozaji ndege na Huduma Obed Dabana na Katibu Mtendaji wa TATSEA Lucy Msuya.
Washiriki wa maadhimisho ya siku ya Jumuiya ya Wahandisi wa Mitambo ya Mawasiliano, Uongozaji na Ufuatiliaji Mienendo ya Ndege Duniani wakiwa katika Picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)Vallery Chamullungu ,Maadhimisho hayo yamefanyika jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages