Leo ni Siku ya Matumizi ya Choo Duniani, 19 Novemba 2017 - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 19 November 2017

Leo ni Siku ya Matumizi ya Choo Duniani, 19 Novemba 2017

Tanzania Yetu na Vyoo Bora. Bado Tunayo kazi kubwa ya Kufanya:-kaya zenye vyoo bora ni 40% tu.
kaya zenye vifaa maalum (sabuni + maji) vya kunawa mikono ni 34% tu.kati ya shule za Msingi (16,088) zenye vyoo bora ni 28% tu!

ChooBora kwa kila mtu, kila mahali Inawezekana!
  
Wilaya ya Njombe, zaidi ya asilimia 95 (95% ) ya kaya zina vyoo bora na sehemu maalum za kunawia mikono. *Tujenge na kutumia ChooBora!

Imetolewa na:-
Ummy Mwalimu,Mb.
Waziri wa Afya
19 Nov. 2017
Dodoma

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages