Kilimanjaro Warriors waendelea na mazoezi - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Saturday, 11 November 2017

Kilimanjaro Warriors waendelea na mazoezi

Kikosi cha timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 23 Kilimanjaro Warriors kinaendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Karume chini ya walimu Kim Paulsen na Oscar Mirambo.
Kikosi hicho cha wachezaji 35 kitafanyiwa mchujo na kubakia na wachezaji 25 watakaounda kikosi cha Olympic.
Kambi hiyo iliyoanza Novemba 5,2017 itachukuwa siku 10 mpaka Novemba 16,2017.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages