Kigango kristu mfalme cha Kerege Bagamoyo ,chawa parokia teule jimbo kuu katoliki la Morogoro. - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 21 November 2017

Kigango kristu mfalme cha Kerege Bagamoyo ,chawa parokia teule jimbo kuu katoliki la Morogoro.

 Makumu wa Askofu Mkuu wa jimbo  kuu Katoliki la Morogoro,Padri Patrick Kungalo akichanganya chumvi na maji ikiwa ni ishara ya kuyabariki maji tayari kwa ajili ya kubariki kanisa la Kristu Mfalme la Kerege Bagamoyo , wakati wa ibada ya misa takatifu ya kulitangaza kuwa Parokia teule ya jimbo kuu la Morogoro.Eneo hilo lilianzishwa mwaka 1965 ikiwa ni sehemu ya kilabu cha pombe na badaye wakazi wa Kelege waliamua kupageuza   sehemu ya Kanisa.Kushoto ni Poroko mpya wa kanisa hilo kutoka shirikia la Roho Mtakatifu, Padri Passiont Mugisha.
 Makumu wa Askofu Mkuu wa jimbo  kuu Katoliki la Morogoro,Padri Patrick Kungalo (katikati) akibariki kanisa la Kristu Mfalme la Kerege Bagamoyo , wakati wa ibada ya misa takatifu ya kulitangaza kuwa Parokia teule ya jimbo kuu la Morogoro.Eneo hilo lilianzishwa mwaka 1965 ikiwa ni sehemu ya kilabu cha pombe na badaye wakazi wa Kerege wakaamua kupageuza   sehemu ya Kanisa.
  Baadhi ya waumini wa kanisa la Kristu Mfalme wakiwakatika ibada ya Misa Takatifu ya kulitangaza kanisa hilo kuwa Parokia teule iliyoongozwa na makumu wa askofu Mkuu wa jimbo  kuu Katoliki la Morogoro,Padri Patrick Kungalo. Eneo hilo lilianzishwa mwaka 1965 ikiwa ni sehemu ya kilabu cha pombe na badaye wakazi wa Kerege wakaamua kupageuza  kuwa sehemu ya Kanisa.
 Baadhi ya watoto washirika la  Kipapa la wamisionari wakiwakatika ibada ya Misa Takatifu ya kulitangaza kanisa hilo kuwa Parokia teule iliyoongozwa na makumu wa askofu Mkuu wa jimbo  kuu Katoliki la Morogoro,Padri Patrick Kungalo.(hayupopichani) Eneo hilo lilianzishwa mwaka 1965 ikiwa ni sehemu ya klabu cha pombe na badaye wakazi wa Kerege wakaamua kupageuza  kuwa sehemu ya Kanisa.
 Wanakwaya washirikisho la kwaya parokia teule ya Kerege Bagamoyo wakiongoza  ibada ya Misa Takatifu ya kulitangaza kanisa hilo kuwa Parokia teule iliyoongozwa na makumu wa askofu Mkuu wa jimbo  kuu Katoliki la Morogoro,Padri Patrick Kungalo.(hayupopichani) Eneo hilo lilianzishwa mwaka 1965 ikiwa ni sehemu ya klabu cha pombe na badaye wakazi wa Kerege wakaamua kupageuza  kuwa sehemu ya Kanisa.
 Mmoja wa walezi wa shirika la utoto Mtakatifu la Kigango cha Kialaka cha Parokia teule ya Karege Bagamoyo ,Paulina Boniphace akiwaongoza watoto kuimba wakati wa ibada ya Misa Takatifu ya kulitangaza kanisa hilo kuwa Parokia teule iliyoongozwa na makumu wa askofu Mkuu wa jimbo  kuu Katoliki la Morogoro,Padri Patrick Kungalo.(hayupopichani) Eneo hilo lilianzishwa mwaka 1965 ikiwa ni sehemu ya klabu cha pombe na badaye wakazi wa Kerege wakaamua kupageuza  kuwa sehemu ya Kanisa.
 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya St.Marian Primary School wakiwa katika ibada ya Misa Takatifu ya kulitangaza kanisa hilo kuwa Parokia teule iliyoongozwa na makumu wa askofu Mkuu wa jimbo  kuu Katoliki la Morogoro,Padri Patrick Kungalo.(hayupopichani) Eneo hilo lilianzishwa mwaka 1965 ikiwa ni sehemu ya klabu cha pombe na badaye wakazi wa Kerege wakaamua kupageuza  kuwa sehemu ya Kanisa.
 Makumu wa Askofu Mkuu wa jimbo  kuu Katoliki la Morogoro,Padri Patrick Kungalo akiwavuvia maji ya Baraka waumini wa kanisa Katoliki  la Kristu Mfalme Kerege Bagamoyo, wakati wa ibada ya misa takatifu ya kulitangaza kuwa Parokia teule ya jimbo kuu la Morogoro.Eneo hilo lilianzishwa mwaka 1965 ikiwa ni sehemu ya klabu cha pombe na badaye wakazi wa Kelege wakaamua kupageuza   sehemu ya Kanisa.
 Waumini wa Kanisa Katoliki wakiwa katika Ibada ya misa takatifu ya kulitangaza kuwa Parokia teule ya jimbo kuu la Morogoro.Eneo hilo lilianzishwa mwaka 1965 ikiwa ni sehemu ya kilabu cha pombe na badaye wakazi wa Kelege wakaamua kupageuza   sehemu ya Kanisa.
Baadhi ya wanachama cha Utoto mtakatifu wa Parokia teule ya Kerege wakiwa na bendera zao wakati wa Ibada ya misa takatifu ya kulitangaza kuwa Parokia teule ya jimbo kuu la Morogoro.Eneo hilo lilianzishwa mwaka 1965 ikiwa ni sehemu ya klabu cha pombe na badaye wakazi wa Kelege wakaamua kupageuza   sehemu ya Kanisa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages