IGP Sirro apokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya bilioni mbili - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Saturday, 18 November 2017

IGP Sirro apokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya bilioni mbili

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza mmoja kati ya madaktali wa hospitali ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya Kilwa, wakati wa makabidhiano ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali ya Marekani, vifaa vyenye thamani ya shilingi za Kitanzania bilioni mbili, kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na kurahisisha utoaji wa huduma bora kwa wateja wanaofika  hospitalini hapo kwa ajili ya  matibabu
 Baadhi ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali ya Marekani na kukabidhiwa Jeshi la Polisi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na kurahisisha utoaji wa huduma bora kwa wateja wanaofika katika  hospitalini ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya kilwa kwa ajili ya matibabu. 
Mkuu wa kikosi cha Afya cha Jeshi la Polisi (SACP) Paul Kasabago (kushoto), akitoa neno la shukurani wakati wa makabidhiano ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali ya Marekani, kwa lengo la kuboresha utendaji kazi na kurahisisha utoaji wa huduma bora kwa wateja wanaofika katika  hospitalini ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya kilwa kwa ajili ya matibabu.

Picha na Jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages