Dk.Shein akutana na mwakilishi mpya wa UNFPA Nchini - Mtazamo News: Home
advertise here +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

TANGAZO

advertise here +255755 300 337

Thursday, November 9, 2017

Dk.Shein akutana na mwakilishi mpya wa UNFPA Nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  mgeni wake  Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar   leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao,(kushoto) Bibi.Azzan Amin Nofly Ofisa katika Shirika hilo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao (kushoto) wengine (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu pia kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Nd,Salum Maulid Salum.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao (haupo pichani )
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake  Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.

[Picha na Ikulu.]

Post Bottom Ad


Pages