Habari za sasa hivi

Bondia Iddi Mkwela afunga ndoa na Zawadi Mcharo

 Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni 
 maharusi wakiwa na kaka yao.
 Bondia IDDI Mkwela akipiga goti wakati wa kufunga ndoa.
 Bondia Iddi Mkwela na mkewe wakiwa katika picha yas pamoja na ndugu
 picha ya ndugu na jamaaa

Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni