Waziri Mkuchika (mb) awaelekeza watumishi wa umma kufanya kazi kwa weledi na kasi - Mtazamo News
Tangaza Biashara yako Hapa +255755 300 337

HABARI ZA HIVI PUNDE

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Tuesday, 17 October 2017

Waziri Mkuchika (mb) awaelekeza watumishi wa umma kufanya kazi kwa weledi na kasi

 Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (wa kwanza kulia), akimpokea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt.(Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) mapema leo kabla ya kuongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, jijini Dar es salam.Wengine katika picha ni watendaji wa Sekretarieti ya Ajira.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akisaini kitabu cha wageni katika ofisi za Sekretareti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kabla ya kuongea na watumishi na watendaji wa Sekretarieti hiyo jijini Dar es salaam kuhusu utekelezaji wa majukumu na utatuzi wa changamoto zilizopo.
 Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) kuongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi (hawapo pichani).
 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Xavier Daudi akifanunua hoja alizoulizwa kuhusu utendaji wa taasisi anayoiongoza 
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akiongea na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (hawapo pichani) 
 Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) Dkt. Henry Mambo akitoa maelezo kuhusu mafanikio na changamoto za TPSC kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb).
 Watendaji wa Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) wakiwa katika kikao na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb). 
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akitoa ufafanuzi kuhusu kwa vyombo vya habari kuhusu umuhimu wa vikao kazi na taasisi anazoziongoza, 
 Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dkt. Henry Mambo (kushoto) akikabidhi ripoti ya mafanikio na changamoto kuhusu TPSC kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb). 
 Mtumishi wa TPSC akiwasilisha maoni kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kilichofanyika 
Mtumishi wa TPSC akiwasilisha maoni kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) wakati wa kikao kilichofanyika jijini Dar es salaam 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages