Wajumbe wa kamati za kudumu za bunge wapatiwa semina za kuwajengea uwezo mjini Dodoma. - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Sunday, 29 October 2017

Wajumbe wa kamati za kudumu za bunge wapatiwa semina za kuwajengea uwezo mjini Dodoma.

 Mwanasheria kutoka kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Ndg. Harold Sungusia akizungumza na Wajumbe/Wabunge wa kamati za Kilimo, Mifugo na Uvuvi, kamati ya Nishati na Madini na kamati ya Miundombinu katika semina ya kuwajengea uwezo kuhusu Miswada ya uchambuzi wa Sheria katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa  kuwaongezea uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
 Mkufunzi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano waAfrika Mashariki, Ndg.Ally Masabo (aliesimama) akitoa maada kwa Wajumbe wa kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Wajumbe wa Vyama vya Kibunge wanaowakilisha Taasisi za Kibunge za kimataifa ambao ni PAP, CPA, SADC-PF, IPU na EU –ACP katika semina ya kuwajengea uwezo kuhusu maswala ya Itifaki na diplomasia katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa  kuwaongezea uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
 Wajumbe/Wabunge wa kamati za Kilimo, Mifugo na Uvuvi, kamati ya Nishati na Madini na kamati ya Miundombinu wakifuatilia semina ya kuwajengea uwezo kuhusu Miswada ya uchambuzi wa Sheria katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa kuwaongezea uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
 Wajumbe wa kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Wajumbe wa Vyama vya Kibunge wanaowakilisha Taasisi za Kibunge za kimataifa ambao ni PAP, CPA, SADC-PF, IPU na EU –ACP wakifuatilia semina ya kuwajengea uwezo kuhusu maswala ya Itifaki na diplomasia katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa  kuwaongezea uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
 Wajumbe wa kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) na Wajumbe wa Vyama vya Kibunge wanaowakilisha Taasisi za Kibunge za kimataifa ambao ni PAP, CPA, SADC-PF, IPU na EU –ACP, kulia ni Mheshimiwa , Dkt.Christine Ishengoma, Mheshimiwa Machano Said (katikati) na kushoto ni Mheshimiwa, Juma Hija wakifuatilia semina ya kuwajengea uwezo kuhusu maswala ya Itifaki na diplomasia katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa  kuwaongezea uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
 Wajumbe/Wabunge wa kamati za Kilimo, Mifugo na Uvuvi, kamati ya Nishati na Madini na kamati ya Miundombinu wakiwa katika semina ya kuwajengea uwezo kuhusu Miswada ya uchambuzi wa Sheria katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa kuwaongezea uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Wa kwanza ni Mheshimiwa, Bhagwanji Meisuria, Mheshimiwa Dua Nkurua (katikati) na Mheshimiwa Rashid Chuachua (kushoto).
Wajumbe/Wabunge wa kamati za Kilimo, Mifugo na Uvuvi, kamati ya Nishati na Madini na kamati ya Miundombinu wakiwa katika semina ya kuwajengea uwezo kuhusu Miswada ya uchambuzi wa Sheria katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma, semina hiyo imeratibiwa na Mradi wa pili wa kuwaongezea uwezo/ujuzi Waheshimiwa Wabunge (LSP II) chini ya udhamini wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Wa kwanza ni Mheshimiwa, Mashimba Ndaki.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages