Mwalimu Commercial Bank na Benki za TPB zasaini makubaliano - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Friday, 27 October 2017

Mwalimu Commercial Bank na Benki za TPB zasaini makubaliano

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi ( kushoto  waliokaa) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald Manongi, wakisaini hati za makubaliano jijini Dar es Salaam.

 Ambapo wateja 
wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika matawi 
ya  benki ya upande mwingine. 

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (wa pili kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald Manongi, wakibadilishana hati za makubaliano jijini Dar es Salaam. 


 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano kati ya TPB na Mwalimu Commercial Bank (MCB).

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),  Ronald Manongi (kulia),  akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano kati ya MCB na Benki ya TBP.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (wa tano kushoto) akishikana mikono na  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald Manongi mara baada ya kumalizika kwa tukio la utiaji saini makubaliano hayo. wengine ni maofisa wa benki za TPB na MCB. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages