Mkuu wa jeshi la zimamoto na uokoaji nchini Thobias Andengenye afanya mazungumzo na RC Makonda leo jijini dar es salaam - Mtazamo News-Habari Bila Mipaka
Advertise Here +255755 300 337

HEADLINES

Post Top Ad

Advertise Here +255755 300 337

Wednesday, 25 October 2017

Mkuu wa jeshi la zimamoto na uokoaji nchini Thobias Andengenye afanya mazungumzo na RC Makonda leo jijini dar es salaam

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga mbalimbali. 
 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akimkabidhi zawadi ya Kalamu yenye ujumbe wa namba ya dharura 114 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga mbalimbali. 
 Kamishna  Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akiagana  na  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga mbalimbali. 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao wakati alipotembelea Ofisi za Mkuu wa Mkoa jijini Dar es Salaam leo. Katika Kikao hicho, Mkuu wa Mkoa aliahidi kushirikiana na Jeshi hilo kwa kuliongezea vitendea kazi ili liweze kujidhatiti katika kukabiliana na majanga mbalimbali. 

Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad


Pages